Sadaka ya Tarehe Tano ni Agizo la Agano. Ni msumeno ulao mbele na nyuma; ni dawa na ni sumu; inaweza kuhuisha na inaweza kufisha. Kutotoa Sadaka ya Tarehe Tano ni kukaidi na kukaidi ni dhambi. kKama umekosa, Mungu Anajua huna. Hivyo, hutakuwa na dhambi kwa kutotoa.Kumbuka u katika Agano ambalo ni makubaliano kati yako na Mungu wako. Hali iliyokufanya ujiunge na Agano la Baba Mtume Elijah liwe ndilo shinikizo lako kutenda la yakupasayo.Hadithi ya Anania na mkewe Safira inawaumia makuhani na makarani katika Sadaka ya Tarehe Tano. Wenye bahati hutambua wakatubu na kuishi. Wengine hawapewi nafasi. Ya kuwapata huwapata wakawa wa kufahamu baada ya kwenda zao.Ole wao wailayo Sadaka ya Tarehe Tano,Ole wao wajikatiao kipande cha Sadaka ya Tarehe Tano,Ole wao waongeao vibaya kuhusu Sadaka ya Tarehe Tano,Ole wao wasiojua chochote kuhusu Sadaka ya Tarehe Tano,Ya kuwapata yatawapata pasipo kujua,Ila yatasemwa wao wakiozeana udongoni.

Barnes & Noble is the world’s largest retail bookseller and a leading retailer of content, digital media and educational products. Our Nook Digital business offers a lineup of NOOK® tablets and e-Readers and an expansive collection of digital reading content through the NOOK Store®. Barnes & Noble’s mission is to operate the best omni-channel specialty retail business in America, helping both our customers and booksellers reach their aspirations, while being a credit to the communities we serve.